Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,281
Yaani baadhi ya watu sijui wana uzembe wa ajabu?Aisee nimesikitika na kukasirika sana! Uzembe wa watu fulani unampa mtoto kilema cha maisha!
Pamoja na uzembe wa wauguzi sikatai lakini huyo mama wa mtoto kama mtoto muda wote analia kweli huwezi kumuangalia mwanao maungoni kwanini analia tu!!?
Hakuweza hata kutoa taarifa kwa waauguzi kuwa mtoto toka awekewe drip analia tu muda wote!!?[/QUOT
mimi huyu mama ndo amenichosha mara 100 aic yaan hujiongez ht kidg jamani??dah wengin hawakufaa kwenda labor aic
wangekuwa ni walimu hapo nadhani thread hii had sasa ingekuwa na comment 700,000 na kati ya hizo 699,999 yangekuwa ni matusi na kejeli za kutosha kwa walimu Lakin kwa vile ni wauguzi naona watu wana toa comment za upole kwa wanaona hata wao watauguana kuwarudia hao hao tena,laki.n mwalimu alisha kuvusha lasaba hata ukimtukana una hakika hukutani naye tena so hata ukimtusi poa tu.Pamoja na uzembe wa wauguzi sikatai lakini huyo mama wa mtoto kama mtoto muda wote analia kweli huwezi kumuangalia mwanao maungoni kwanini analia tu!!?
Hakuweza hata kutoa taarifa kwa waauguzi kuwa mtoto toka awekewe drip analia tu muda wote!!?
shida iko wapi kwani mkuu!!!?Mtoto wa miezi minne mmmh au ni typing error ....!?! Sijaelewa
Nafikiri kilichotoa huu upuuzi ni matakoWauguzi kama hawa, unashika, peleka buchani, unamlipa mchinjaji 500 wanalazwa kwenye kile kigogo cha nyama mikono inakatiwa mabegani, (shoka, au kitu chochote chenye ncha kali), wanafungwa tambara wanawahishwa hospitali kwa matibabu
Pamoja na uzembe wa wauguzi sikatai lakini huyo mama wa mtoto kama mtoto muda wote analia kweli huwezi kumuangalia mwanao maungoni kwanini analia tu!!?
Hakuweza hata kutoa taarifa kwa waauguzi kuwa mtoto toka awekewe drip analia tu muda wote!!?