Wauaji wa albino wahukumiwa kifo

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,883
31,049
Mahakama imewatia imewahukumu adhabu ya kifo watu watatu kunyongwa kwa kosa la kumuua albino mwenye umri wa miaka 14 Matatizo Dunia.

Watu watatu walitenda kosa hilo decemba mwaka jana .Mauaji ya albino nchini Tanzania yanasababishwa na imani za kishirikina.

Source;Taarifa ya habari BBC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom