Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Kuna tofauti kubwa tena sana tu kati ya utu/ubinadamu na ujinga/udhaifu, ambao wengi wenu huwa mnashindwa kuuona, wengi wenu hufikiri kwamba mna ubindamu/utu kumbe ni wajinga na dhaifu.
Ili uwe na Utu/Ubinadamu ni lazima kwanza uwe strong au uwe na uwezo wa kiakili, kifikra na wakati mwingine hata kimali, na huwezi kuwa na hivyo vitu 3 kama wewe ni dhaifu, kwa maana nyingine huwezi kutaka kumsaidia mtoto wa jirani wakati wa kwako pia anahitaji msaada, huo siyo Utu/ubinadamu bali ni Ujinga/Udhaifu.
Hivyo mlio nao au mnaofikiri mnao siyo UTU bali ni Udhaifu na ujinga.
Kuchangia mtoto wa mwenzako aende Shule ya binafsi wakati wewe wa kwako au wa ndugu yako hana uwezo siyo utu ni Ujinga/udhaifu, kuchangia matibabau ya Milionea wakati wewe kwenu mna shida ya huduma za kawaida kabisa siyo Ubindamu/utu ni ujinga na udhaifu, na hata ni dhambi kwa Mungu.
Hivyo jifunzeni kutofautisha kati ya haya 2, yaani UTU/Ubindamu vs Ujinga/Udhaifu, ...