watz tubadilikeni ushabiki wa kila kitu kinachofanywa na serikali ni kukosoa tu. tumefika mahali hamna appreciation kwa viongozi wetu hata maofisin ni kupigana vita tu. nchi hii bila sisi raia kubadilika na kuacha ushabiki hatutafika tutabaki na siasa hz za kushabikia kila kitu. mfano hili la mkuu wa mkoa imefika mahala watu wanaingiza ukabila na usukuma kitu ambcho me sijakipenda. Tusipende kuweka vitu ambavyo havina tija kwa taifa. Taifa hili bado tuna nafasi ya kusonga mbele tuna neema tusipobadilika sisi wenyewe kwa kuhangaika na kazi zetu badala ya kukosoana kila jambo hata kama lina maslah kwa taifa hatutafika.
Tusipoaacha kila tunachoshabikia kuingiza mambo ambayo hanamhusu mtu na kabila lake inatufikisha kubaya.
Namuunga mkono rais wetu na watendaj wake kwa kila wanalolifanya. Binadamu kukodea kupo lakini ndio njia ya kurekebisha pale ulipokosea na kusonga mbele. Tuige wenxetu botswan namibia n.k