Watz msidanganyike hakuna jema kwenye kambi ya CCM 2015/2020

Watz msidanganyike hakuna jema kwenye kambi ya CCM 2015/2020

kibaya-kenya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
649
Reaction score
166
"MAOVU YANAENDELEA KUTENDWA SI KWA KUWEPO KWA KUNDI LA WATENDA MAOVU BALI WATU WEMA KUENDELEA KUANGALIA NA KUKAA KIMYA, HUKU WENGINE WAMEKUWA SEHEMU YA HUO UOVU NA KUFADHILI UHUNI HUO"
Watz wa kila rika na wenye akili timamu mna mtihani mkubwa wa kuchagua kati ya ovu na jema, kwa kila sekta ya nchi hii, wenye maamuzi makubwa ya yanayo tukumbba sasa yamefanywa na wanasiasa na yataendelea kufanywa hao wanasiasa hadi hapo tutakapo amua kwamba yametosha.( wanasiasa uchwara wa ccm)
Bahati mbaya sana wengi wenu watz ni maskini wa kipato na pia umaskini mkubwa unaowangamiza ni wa akili au mawzo, ni rahisi sana kuchota akili na kuchezewa hisia zao, mtanzania unaweza ukamlisha uongo na akawa padri/shehe wa kuhubiri huo uongo kwa gharama yote,angalia kinacho tembea nchi hii sasa hivi kusema ukweli hakuna kinacho pendeza wala kwenda sawia zaidi ya uhuni na vikundi vichache wakitumia mgongo wa dola kufanya lolote watakalo huku wakisema bila haya wana linda maslahi ya umma, tunawaona na tunajua vema baadhi hata wengine ni ndugu zetu.
Tunaona serikali ya ccm imekuwa kikundi cha walaghai na ngao ya kulinda maovu yote yanayo fanywa na viongozi wa hii serikali na wapambe wao wanaolindwa kwa gharama kubwa, angalia wala rushwa wakubwa ni hao wana siasa wa ccm,watumiwa wakubwa kwa uvunjaji na hata kuwaua wanaharakati au wapinzani wa ccm ni vyombo vya dola kwa kutumia mgongo wa maslahi ya umma, rasmali zetu zimetekea mikononi mwa wanyang'ani wa ccm, anga
lia madini zetu, tembo, misitu na wanyama wengine wakisafirishwa kwa hisani wa familia tajiri za kiarabu huko Abu dhabi na Quitar, viongozi wakiingia mikataba za akina mangungo eti tuna ambia ni siri ya serikali haturusiwi kuona kwa jina la usalama wa taifa.viongozi wa ccm wamenajisi tunu za uongozi na maadili mema ya uongozi tangu wafutilie mbali azimio la Arusha 1992 kwa jina la soko huria sasa tumewapata viongozi huria na wauza bangi na madawa ya kulevya, serikali ya ccm ina fadhiliwa na wauza sembe ndani na nje ya nchi hawa wanaitwa wawekezaji watiifu na marafiki wa kudumu, ( fuatilia sakata la balozi wa China na marafiki wakubwa ccm ndani na nchi ya nchi)
Rudi kwenye kichwa cha habari ya topi yangu, ndugu watz hakuna jema siku zote kwenye kambi ya adui ila kuna dhuluma, unafiki, ukatili, uwaji na kuwasambaratisha nyie, ccm ndio kambi ya wadui wetu wanacho panga ni ku2teketeza na kutusambaratisha kwa gharama yeyote wao uhai wa mtanzania kupotea ni mtaji wao angalieni kilichomkuta, marehemu sokoine,kolimba,mwaikisa,kapinga, mwangosi na juzi juzi mvungi na bado wengine wanatafutwa kuwatisha watz, bado naendelea kuishangaa eti CCM wana lalamika kwa msajili wa vyama vya siasa kwamba CHADEMA wafanye uchaguzi wa ndani ya chama hicho tangu lini adui wako akakupe mbinu za ushindi? watz huo ndio adui wenu namba 1, ccm na wafuasi wao wote na vikundi vyake vya kuwango'a watu meno na kucha bila ganzi,msifikiri michango ya kambi ya lowassa misikitin na makanisani anawapenda ila hizo ndio hila za adui kuwapumbavu huku ccm na serikali yake wakinyamaza kimya na kushangilia.
sasa kambi adui ya ccm wanapanga kuwa gawa kwa itikadi ya kikabila,kikanda,dini, kisiasa ili waweze kuwashinda kirahisi na kipumbavu sana,tayari watoto wa viongozi wa ccm wamepewa moja ya kazi ya kuwatisha WTZ, HUKU WAKIFANYA KILA MBINUk KUUIFUTA CHADEMA NA KUWAHUJUMU NDIO MAANA CCM NA IDARA ZAKE ZA KICHAWI WAKISISITIZA UCHAGUZI ILI WAINGIZE MAMLUKI, AMKENI WATZ HAKUNA JEMA LA NCHI HII MIKONONI MWA CCM ZAIDI YA MAJUTO, DHULUMA, UAJI NA UKANDIMIZAJI, MMEONA ILE MUVI YA SHERIA YA MAGAZETI? MSIOGOPE KUNA MENGINE CHINI YA UVUNGU MWA CCM, KAENI MACHO TENDENI HAKI BILA WOGA, TUUNGANE WOTE KUITOKOMEZA KAMBI YA ADUI CCM.
 
ccm haitaondoka madarakani leo wala kesho kwa sababu kinakubalika vyema nchini
 
uhakika wangu ni kwamba kama wapiga 2015 ni watanzania ccm haina namna yoyote ya kupona .
 
ccm haitaondoka madarakani leo wala kesho kwa sababu kinakubalika vyema nchini
mkuu ni kweli, lakini sio kwa kukubalika, bali kwa sababu ya ukosefu wa elimu ya uraia kwa watanzania wengi na kupelekea kuendekeza rushwa wakati wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom