Nadhani ni katika suala zima la kuoleana maana nakumbuka mwaka nimetembelea Wilaya ya Kyela nulipokuwa naishi kulikuwa na jirani yetu Mjeshi mstaafu wa kinyaki familia yake ilikuwa na wajihi wa kinyaru. Nilipoendekea kuchunguza zaidi niligundua kuwa mama yao ni mnyarwanda.