Waturuki nao wako vizuri

Waturuki nao wako vizuri

Mkuu hii Netflix nawezaje kuitumia?? Naona matangazo, nipe a,b,c za kujiunga na kuitumia, seems wako vizuri
Kwanza lazima ujisajili kwa kucreate account kwa kutumia Credit card au PayPal account. Mwezi mmoja wa kwanza ni bure baada ya hapo unalipia kulingana na choice yako ulivyoweka wakati wa kujiunga.
 
Na kuna watu bado wa naangalia hii kweli?
Mimi mmoja wapo ni nzuri sana kuliko tamthilia zote nilizowahi kutazama na unaweza anzia popote tu haihitaji kujua yaliyotokea muda maana kila mara ina story mpya inayo focus kwenye kitu flani mfano cancer, rushwa, mauaji, umalaya, nguvu ya pesa, HIV yani inakuwa na theme flani
 
Hii ya kipuuzi tamthilia ndefu kama nini hadi inapoteza mwelekeo, wasouth wako vizuri kitu Isindigo the need yaani ile ni noma sana
Isidingo hata siielewi. Tokea niko teenager hadi leo late thirties sijaelewa
 
Isidingo hata siielewi. Tokea niko teenager hadi leo late thirties sijaelewa
mimi uwa naitazama naifuatilia labda kwa miezi nane naacha inapita miezi naendelea tena uwa nakuwa nafuatilia theme flani ikiisha naacha nakuja kuendelea ikiwa na theme nyingine.
Ni nzuri sana sana sanaaaaa
 
Okey
 
Sannaaaaaaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom