Tetesi: Watumishi waliostaafu tangu 2016 hawajalipwa mafao yao na wanaisoma namba

Masahihisho - Hii siyo tetesi ni Habari ya kweli kabisa , wiki 2 zilizopita tumezika Mwl Mstaafu ambaye amekufa kwa ugonjwa mwepesi sana ! kafa kwa kukosa hela baada ya kusotea mafao yake kwa miaka mitatu bila mafanikio.

Mungu aiweke roho ya Marehemu mahali pema peponi , Amina
Aisee inaumiza sana mtu anafuatilia haki yake miaka mitatu.....usumbufu, msongo wa mawazo Matokeo yake ndo hayo Kifo cha ghafla.
 
My mama toka mwaka jana mwezi wa 6 mpaka leo kimyaaaaaaaa..... Huyu magu gavamenti yake ni wasegeeeee
Ktk kufuatilia kuhusu mafao Pspf wanadai wanalipa viporo ndo wamefika mwezi wa saba mwaka jana hope mama yako kalipwa.

Mstaafu Imebidi atafute kibarua asije dharirika.....ukiwa kazini mshahara kiduchu ukistaafu stress lazima uzeeke haraka
 
Pesa zimechotwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na matumizi mabaya ndiyo yamepelekea mifuko kukaukiwa kabisa.

Pesa zimenunua madiwani, wabunge na kugharamia chaguzi za makusudi kabisa .

Pesa zimetumika kujenga viwanja vya ndege hukoo tanzania vijijini

Pesa zimetumika kulipa watumishi waliotumbuliwa ambao waliambiwa wakae benchi kupisha uchunguzi na wale waliowekwa benchi kusubiri kupangiwa kazi nyingine huku nafasi zao zikipewa watu wengine na hivyo mishahara kulipwa double doulbe

Pesa zimetumika kulipia bombadier iliyoshikwa mkia huko canada

Pesa zimetumika katika kuendelea kutoa ruzuku kwenye mashirika ya kiserikali yanaendelea kuendeshwa kwa hasara

Pesa zimetumiwa na wapigaji ambao hadi sasa navyoandika uzi huu bado wanazipiga kisawasawa.

Pesa zimetumika kwa mtumizi mengine ya hovyo sana

Wastaafu wetu kweli Pesa hakuna kwa sasa subira yenu ndio ukamilifu wa afya zenu.

Poleni sana
 
Hali tete sana wazee inabidi warudi kutafuta vibarua mtaani la sivyo maisha yatasimama....nauli za kufuatilia mafao kila wanapopewa appointment ya kufika ofisini ni shida...... Mstaafu hajalipwa pension au Malipo ya mkupuo zaidi ya mwaka mzima what do you expect? Stress alizonazo, Hali ngumu ya kiuchumi , magonjwa nyemelezi ya uzeeni akienda Pspf anapewa jibu jepesi wanasubiri hela itoke hazina...
 
So sad
 
Mama yangu amestaafu tangu 2016 lkn hajapewa chake, sijui wanadhani anaishije, wanawafanyia wazazi wetu ukatili kwa kweli.

Vv
Ndugu yangu Pspf wanadai wanalipa madeni mpaka June 2017 ndo waendelee na wastaafu wengine from July to date Pambana mkuu haki ipatikane.....huu ukatili wanowafanyia wazee wetu sio kabisa

Kama Pspf pekee mwaka jana Ilikuwa na wastaafu 9000+ haikuwalipa kwa wakati tafakari kwa kina watu wangapi wameumia

Hawa wazee wana familia, wanasomesha, wanauguza, wana mahitaji ya kibinadamu sasa no mshahara no pension no gratuity
 
Kuna mambo yanaudhi sana Kama haya mtu anatamani atoweke Duniani maana The world is not fair
Our government fucker us everyday so sad
 
Kuna mdogo wangu mmoja yupo Finland huu ni mwezi wa saba unakatika toka emeenda. Huko keshafanya kazi mbii na hii aliyonayo ni ya tatu toka amefika, japo si kazi za maana wala si za kuitumia nguvu au akili sana lakini ana uhakika wa kusave $1300 to 1700 kwa mwezi. Hiyo ni saving tu baada ya kulipa bills zote na mahitaji yake muhimu keshamaliza. Tatizo la huyu dogo anadai amepamiss sana nyumbani bongo hususani chakula na mahusiano na watu, anadai Finland hana marafiki wengi zaidi ya girlfriend aliyempata two months ago. So anasema anataka kurudi bongo kuja kukomaa na life ya huku hivyo hivyo, yeye akishapata mtaji inamtosha. Na mimi ninachokifanya kila nikisoma threads za kusikitisha na kukatisha tamaa kama hizi basi huwa nakopi then naziforwad kwake kupitia WhatsApp au email yake ili kumtahadharisha kinachoendelea bongo ikiwezekana asahau kabisa kurudi huku. Lengo langu sio kumtisha bali kumpa angalizo kuwa Bongo Bahati Mbaya.
NB: Kwa wale walio nje ya nchi au wenye ndugu nje ya nchi na maisha yao yanaenda vizuri kiasi kwamba anaweza kumbuka kutumia ndugu zake hata $ 400 na kuendelea kwa mwezi, pls tuendelee kuwakatisha tamaa za kurudi bongo hata iweje. Ni bora kuwa mtumwa nchi ya watu kuliko kuwa mtumwa katika nchi yako mwenyewe, inauma sana.

Mkuu bongo bahati mbaya niunganishe na jamaa nikazoe taka taka finland.........
 
Back
Top Bottom