GEMO
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 250
- 277
Aisee inaumiza sana mtu anafuatilia haki yake miaka mitatu.....usumbufu, msongo wa mawazo Matokeo yake ndo hayo Kifo cha ghafla.Masahihisho - Hii siyo tetesi ni Habari ya kweli kabisa , wiki 2 zilizopita tumezika Mwl Mstaafu ambaye amekufa kwa ugonjwa mwepesi sana ! kafa kwa kukosa hela baada ya kusotea mafao yake kwa miaka mitatu bila mafanikio.
Mungu aiweke roho ya Marehemu mahali pema peponi , Amina