MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 714
- 1,137
Mwezi uliopita nilipita halmashauri moja mkoani Geita nilikuta maafisa raslimali watu wakiwa busy kweli kweli wakishughulikia kupanda madaraja kwa watumishi wa umma.
Shughuli zingine zilisimama kupisha zoezi hilo maalum kiasi kwamba kulikuwa na maandishi kwenye kuta za matangazo zikiwata watumishi wenye sifa za kupanda madaraja kupeleka viambata vyao ili waweze kuwekwa kwenye mpango hip.
Mwezi wa Tano umeisha na inaonekana hali ya watumishi imepoa kidogo malalamiko kama yamepungua hivi.
Tunaombeni mrejesho je serikali imeanza kuwapandisha madaraja watumishi wake waliokuwa wakisubiria kwa muda mrefu.
Kama kweli imefanya hivyo inawezekana hata mwezi WA Saba increments zikaanza kutolewa pia.
Kila la kheri watumishi wa umma wa Tanzania.