Huu ni upumbavu uliopitiliza, kimsingi Tls ilipaswa kufunguwa kesi mahakama kuu kuhoji uhuni huu, kinachotakiwa kwa bailable case bond iwe ni pesa taslim au hao watumishi wa serikaliHeshima wanajamvi,
Kumekuwa na tabia au utaratibu wa mahakama na wakati mwingine Polisi kuweka sharti la dhamana kwa watuhumiwa / washtakiwa kudhaminiwa na watumishi wa serekali.
Naomba kuulizwa watumishi wa umma wana sifa gani za ziada kushinda waTanzania wengine.Kuna waTanzania wengine wana uzito zaidi mahakamani ?.
ikiwa huna mtu anayefanyakazi serekalini basi haki ya dhamana inapotea ?.
Naomba kuwasilisha.
watumishi wa umma tanzania wapo wangapi?Hiyo ni kama kusimamiwa ndoa na ambaye amekwisha ingia ndoani mkuu.
watumishi wa umma tanzania wapo wangapi?
wanaofanya makosa yanayohitaji zamana wapo wengi sana.na hayo ni mashart ya kikoloni mnooKama laki 6 tu.
Ajira ya kudumu na mtu wa uhakika uhusiano wake upo wapi jielekeze kwenye huo mrengo wakati unajibu swali lililoulizwa tafadhaliKwa sababu MTU akiwa ameajiriwa serikalini kwanza Ajira ya kudumu.Na Ni nadra atoroke mana ana uhakika .
Wengi Sio wababaishaji(sio wote)
Ila kikubwa kwamba Huyu MTU Ni wa uhakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumishi wa serikali wapo kila kijiji, kila mtaawanaofanya makosa yanayohitaji zamana wapo wengi sana.na hayo ni mashart ya kikoloni mnoo
wanaofanya makosa yanayohitaji zamana wapo wengi sana.na hayo ni mashart ya kikoloni mnoo