Watumishi wa Umma pita hapa

Watumishi wa Umma pita hapa

Maisha ni kupanga, ukipanga vizuri ni lazima ufanikiwe..
Kama unahitaji pesa chap chap kuanzia laki 1 na kuendelea kwa ajili ya matibabu, biashara au Elimu karibu kampuni ya PLATINUM CREDIT LTD kwa mawasiliano zaidi +255 764 734 698 au WhatsApp +255 689 462 901 huduma ni 24/7


Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nyie hamfai kabisa, mna hidden cost nyingi, interest zenu ni kubwa sana
Mnaumiza watumishi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona kampuni haiwezi kutaja riba yake hadharani hiyo ni ya kuogopa kama ukoma, HIV, hepatitis B, nk
 
Yaani mtumishi wa umma mwenye akili zake timamu aache kwenda kukopa benki zinazotambulika kama nmb, crdb, nbc, nk aje akope kwenye hivyo vitaasisi vyenu uchwara!!

Mtawapata wale watumishi wa umma wenye tamaa tu ya kila kitu; kuanzia tamaa ya maisha mazuri ya mkato, nk. Wakati wa kutafuta wateja mnakuwa na maneno matamu kweli kweli! Mwisho wa siku mnaishia tu kumlipisha mtu riba ya 300% kwa mwaka. Usisahau kumsalimia na kaka yako beipoti.
 
Back
Top Bottom