Umetoka ila tulicho ahidiwa hakuna. Inasikitisha.Lkn ni kweli umetoka au
!!!???
Umetoka ila tulicho ahidiwa hakuna. Inasikitisha.Lkn ni kweli umetoka au
!!!???
Sasa nime amini kuwa hali ni mbayaLkn ni kweli umetoka au
!!!???
Mshahara tayari jamani, labda kama mnataniana, mshahara tayari na hapa nipo napata moja moto moja baridi.MSHAHARA BADOOOOO.
HAO WANAOSEMA UMETOKA,
NI WAPAMBE NUKSI.
CHUNGUZA MAANDISHI YAO,
WANASEMA "MAFAO" WANAJUA MAANA YAKE?
WAPO VIJIWENI WANASUGUA BENCHI LA UFUNDI.
WATUMISHI WALIPO SASA HIVI SAA 2:19 USIKU
WAMEJIINAMIA WANAWAZA KESHO WANAHEMEAJE?
"MSHAHARA BADO! SASA HAYO MADAI YAMELIPWAJE?"
KAMA UMETOKA, BASI NI KIKANDA! KANDA YETU BADO WANALIA.
ila haujastaharabika, hiyo shule haijakusaidia kituTumelipwa.ndio raha ya kusoma hii
Mshahara tayari jamani, labda kama mnataniana, mshahara tayari na hapa nipo napata moja moto moja baridi.
We ulie tuu.hata kama sijastaarabika nina mapene nagonga biyaaila haujastaharabika, hiyo shule haijakusaidia kitu
Watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu wasiojielewa .kama mtu anafikia hatua ya kizimia mbele ya yule punguani wa dar ambaye hata vyeti sio vyake huyo aweza kukuambia amelipwa kumbe hamna kituNingelipwa ningeacha KAZI leo hii hii.
Hahahaa! Nadhani upo sahihi tu kwa mujibu wa muamala wakoSalaries bado wakuu, wanaosema wamepata wanaongo
Huna jinsia wewe..we ukiambiwa inakuhusu nini. kwani wewe ndio mlipaji wa mshahara..haikuhusu na.wala huwezi kuchangia fedha ya mapungufu..acha watumishi hao wamalizane wenyewe na.mwajiri.wao.
Biskuti...samli inahusu hapo katikwa hiyo kama hajalipwa. wewe inakuhusu nini.au unataka kulipa wewe ?