MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,547
Na miezi mitatu nilishaondoka hukoMbona unajitoa sema "akituongezea"
Kumbe, hongera....Na miezi mitatu nilishaondoka huko
Vyeti feki havijawahi kumuacha mtu salama!Na miezi mitatu nilishaondoka huko
Ahsante now nimeingia kwenye ujasiriamali though ujasiriamali nao mgumu but angalau huku juhudi zako ndo mshahara wako pasipo kupelekeshanaKumbe, hongera....
Usihofu mkuuUtekeleze ahadi yako, sio kama Msigwa.
Mzee msasambegu maneno yako yanachembe ya ukweli pia nikupongeze kwa uthubutu wa kuondoka huku mana haupo pekeyako kuna mnyororo nyuma. Ukiwa na akili timamu huku uwez kubaki kwa jinc mambo yanavyo enda labda uwe umevakiza miaka michache ku staafu imefika mahali mtumishi hayupo kituoni ndani ya siku 5 hata kama taarifa umetoa lakin imechelewa kufika eti ushaondolewa ktk system. Iko wapi security ya utumish? Hata Mzee Mengi naimani hafukuzi wafanyakazi wake kiholela hivi
Usihofu mkuuUjiselfie uturushie humu ikitokea
Hongera kwa kukosa vyeti halali vya Baraza la mitihani la taifa ?Kumbe, hongera....
Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
Suburi TRAAhsante now nimeingia kwenye ujasiriamali though ujasiriamali nao mgumu but angalau huku juhudi zako ndo mshahara wako pasipo kupelekeshana
Ndo mawazo yako yanavyokutuma ivyo??Hongera kwa kukosa vyeti halali vya Baraza la mitihani la taifa ?