Watumishi wa umma mkipewa increment mwezi huu nitatembea nimevaa boksa tu kutoka Ubungo mpaka Posta

Leo nilikuwa nabishana na wafanyakazi wa Serikali nikawambia katika utawala huu wasitegemee kuongezewa kiasi chochote cha mshahara zaidi zaidi wategemee uliopo kupunguzwa. Bahati mbaya sana niliokuwa nabishana nao ni makada wa chama na wamedai mwezi huu kutakuwa na increment kwa wafanyakazi.

Sasa ni hivi mi Mzee Msasambegu nikiwa na akili timamu leo naahidi hivi ikiwa serikali itaongeza hata shilingi kwa wafanyakazi terehe 01/12/2017 nitatembea nikiwa nimevaa boksa tu kutoka Ubungo mpaka Posta

Kuna mwenzako aliahidi ZZK akishinda ubunge 2015 angetembea uchi kutoka Kibaha hadi mjini ila hadi leo tunaona kimya tunasubiri atembee na wewe usije kimbia.

Ahadi ni deni mkuu.
 
Hongera kwa kukosa vyeti halali vya Baraza la mitihani la taifa ?
Huu tunaita ulemavu wa akili
MTU akiamua kuacha kazi ili ajiajiri maanake hana vyeti halali vya NECTA?
Watanzania tubadilike hatuwezi kutoka kupitia kuajiriwa
Sijawahi sikia mtu katajirika kwa sababu ya kuajiriwa
Bali kwa sababu ya kujiajiri kwa namna yeyote ile
Sasa wewe unayeamini kuwa anayeenda kujiajiri ana vyeti feki basi endelea kuwa mtumwa ili kila mwezi upate fixed amount
 
Hivi yule aliyesema eti "Zitto Kabwe akipata ubunge (2015),atatembea uchi",alitimiza ahadi yake? Anayemkumbuka naomba anikumbushe ID yake
 
Jamani watumish kuacha kazi hakuhusiani na vyeti fake. Kuna watu Akili zao hazijafungwa minyororo. Kikubwa uthubutu ili jupata amani ya moyo na maendeleo kwa ujumla.
 
Huu tunaita ulemavu wa akili
MTU akiamua kuacha kazi ili ajiajiri maanake hana vyeti halali vya NECTA?
Watanzania tubadilike hatuwezi kutoka kupitia kuajiriwa
Sijawahi sikia mtu katajirika kwa sababu ya kuajiriwa
Bali kwa sababu ya kujiajiri kwa namna yeyote ile
Sasa wewe unayeamini kuwa anayeenda kujiajiri ana vyeti feki basi endelea kuwa mtumwa ili kila mwezi upate fixed amount
BN Upo Sahihi mkuu, watumishi wengi waoga. Tuna amin ktk kuajiliwa na hatuna uthubutu mana mwajiri anaweza fanya au sema lolote.
 
Jamani watumish kuacha kazi hakuhusiani na vyeti fake. Kuna watu Akili zao hazijafungwa minyororo. Kikubwa uthubutu ili jupata amani ya moyo na maendeleo kwa ujumla.
Mkuu tatizo watu wanadhani kila anayeacha kazi ni sababu ya vyeti feki
 
Huu tunaita ulemavu wa akili
MTU akiamua kuacha kazi ili ajiajiri maanake hana vyeti halali vya NECTA?
Watanzania tubadilike hatuwezi kutoka kupitia kuajiriwa
Sijawahi sikia mtu katajirika kwa sababu ya kuajiriwa
Bali kwa sababu ya kujiajiri kwa namna yeyote ile
Sasa wewe unayeamini kuwa anayeenda kujiajiri ana vyeti feki basi endelea kuwa mtumwa ili kila mwezi upate fixed amount
Asante Mkuu kwa maneno mazuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom