Watumishi wa umma mkipewa increment mwezi huu nitatembea nimevaa boksa tu kutoka Ubungo mpaka Posta

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,780
2,547
Leo nilikuwa nabishana na wafanyakazi wa Serikali nikawambia katika utawala huu wasitegemee kuongezewa kiasi chochote cha mshahara zaidi zaidi wategemee uliopo kupunguzwa. Bahati mbaya sana niliokuwa nabishana nao ni makada wa chama na wamedai mwezi huu kutakuwa na increment kwa wafanyakazi.

Sasa ni hivi mi Mzee Msasambegu nikiwa na akili timamu leo naahidi hivi ikiwa serikali itaongeza hata shilingi kwa wafanyakazi terehe 01/12/2017 nitatembea nikiwa nimevaa boksa tu kutoka Ubungo mpaka Posta
 
Mzee msasambegu maneno yako yanachembe ya ukweli pia nikupongeze kwa uthubutu wa kuondoka huku mana haupo pekeyako kuna mnyororo nyuma. Ukiwa na akili timamu huku uwez kubaki kwa jinc mambo yanavyo enda labda uwe umevakiza miaka michache ku staafu imefika mahali mtumishi hayupo kituoni ndani ya siku 5 hata kama taarifa umetoa lakin imechelewa kufika eti ushaondolewa ktk system. Iko wapi security ya utumish? Hata Mzee Mengi naimani hafukuzi wafanyakazi wake kiholela hivi
 
Mkuu mi nimeshaondoka na ninashukuru mungu ninaridhika na hiki kidogo ninachokipata...ingawa ninachokipata ni kidogo kuliko mshahara niliokuwa nalipwa but ninaamani kwa kweli,hakuna mtu wa kunifokeafokea na kunipelekesha and najua nikiongeza juhudi nitapata zaidi ya hichi kidogo nachopata
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom