MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,547
Leo nilikuwa nabishana na wafanyakazi wa Serikali nikawambia katika utawala huu wasitegemee kuongezewa kiasi chochote cha mshahara zaidi zaidi wategemee uliopo kupunguzwa. Bahati mbaya sana niliokuwa nabishana nao ni makada wa chama na wamedai mwezi huu kutakuwa na increment kwa wafanyakazi.
Sasa ni hivi mi Mzee Msasambegu nikiwa na akili timamu leo naahidi hivi ikiwa serikali itaongeza hata shilingi kwa wafanyakazi terehe 01/12/2017 nitatembea nikiwa nimevaa boksa tu kutoka Ubungo mpaka Posta