Watumishi wa Serikali wapoteza ajira baada ya kuajiriwa 'Full time' sekta binafsi

samahani nauliza tu kwan sheria inamtakaje mtumishi pindi akihitaji kuongeza kipato kingine nje ya ajira aliyonayo nauliza kwa upande wa part time na fulltime
Ukisha ajiliwa full time serikalini,unaweza kuajiliwa part time kwenye taasis binafsi lakini bila kuathiri majukumu yako kwenye serikali
 
MIMI NINACHOJUA NI KOSA KUWA NA AJIRA MBILI ZA SERIKALI. SASA HAO WAPO PRIVATE NA GVT.. MBONA MADC WANAKUWA WABUNGE KWA WAKATI MMOJA

YEYE MWENYEWE NI MBUNGE PIA WAZIRI
Mkuu ,kazi ya Ndalichako Ni ya kisasa na siyo ya kitaaluma,alafu hajaandika barua ya kuomba uwaziri na kufànyiwa usahili(interview),ubunge aliomba kwenu wananchi na siyo serikalini
 
Nyie wenyewe mmekiruhusu KIU kioperate wakati hakijitoshelezi idadi ya walimu na inabidi waazime kutoka MUHAS na sehemu nyingine

Lakini pia ikumbukwe kuna upungufu mkubwa wa walimu elimu ya juu hasa sekta ya afya


Zaidi ya hapo wanaohudumiwa ni watanzania walewale
 
Hii ndio inawaumiza sana wanafunzi wa shule za serikali, walimu wa serikali wengi huwa wanashinda private school, wanakazi kila siku asubuhi kawahi kusaini
Hii ni mbaya sana imehalibu sana wanafunzi wa shule za serikali.
 
kwa nachofahamu full time ni ajira iliyo rasmi ambayo kimkataba na sheria zitakulazimisha muda wa wote wa kazi uliowekwa itakulazimu uwe kazin na part time ni ajira ambayo haipo rasm huwa ni makubalino ya muda fulani ndo nitakuwa kazin na kwa ajili ya kazi fulani mliyokubaliana.
Ok fine, sasa kama mmojawapo ya ulioingia nae mkataba akabaini kuwa hauko kazini muda wote kama ambavyo mlikubaliana na anakulipa fedha kwa ajili ya makubaliano yenu bila ya wewe kufanyika kazi muda huo, huo sio wizi?
Vipi kuhusu yule mwingine uliyekubaliana naye kwanza.?
Huo ni wizi kama wizi mwingine, hakuna wizi mbaya kama wizi wa muda.
 
Nimesoma shule hizi mwalimu awe na kipindi au asiwe nacho yy anaondoka, anavizia kipindi cha karibia na NECTA ndio analipua ili mradi, Kuna mwl mmoja wa kichaga alikuwa anafundisha chemistry A level Azania, alikuwa anafundisha Mzizima na Shaban Robert, kumuona shule hadimu mpaka karibia na NECTA na sio huyo wapo wengi ila sijui kwa siku hizi.
Mwaka gani?
 
Nilisomea hapo zamani sana, Miaka ya hivi karibuni shule ilikuwa inaiingia katika 10 BORA za MWISHO niliikiri ni kipindi hicho
Dah siku hizi Azania ubora umepungua sana zamani wamefeli sana one zipo 90, ila siku dah yaani one hazivuki hata hamsini
 
Waziri wa elimu akiwa kwenye ziara ya kushtukiza kwenye Chuo kikuu cha Kampala, amesema kwa mujibu wa kanuni za bunge kwa mtumishi wa umma, zinazuia mtumishi wa umma kuwa na ajira mbili.

Waziri Ndalichako amesema kwenye orodha ya watumishi na orodha ya malipo kwa watumishi wa KIU, wapo watumishi wa umma ambao pia wameajiriwa kwenye chuo hiko kama 'Full time', wamo watumishi kwenye hospitali ya manispaa ya Temeke, wapo walimu, taasisi ya technolojia, chuo kikuu cha Muhimbili na taasisi nyingine za serikali.


Yupo wapi yule dada Kariuki na majisifa yake ya kutumbua watumishi wa umma siku si nyingi nae huyu ndalichako atakaa kimya tuu
Hivi vyeo ni sawa na joho la kuazima utalirudisha siku yoyote
 
Back
Top Bottom