mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 512
Kufuatia yanayojiri ndani ya nchi yetu, najiuliza tuna watumishi wa Mungu tena ndani ya nchi hii?
Au tuna viongozi wa dini tu?
Maadili yanapaswa kusimamiwa na nani? Nani anapaswa kumrudisha mwana siasa katika mstari?
Watumishi mpoooo?!!
Au tuna viongozi wa dini tu?
Maadili yanapaswa kusimamiwa na nani? Nani anapaswa kumrudisha mwana siasa katika mstari?
Watumishi mpoooo?!!