mei 20, mwaka.... walikuwa wamepewa muda wa kusoma mpaka f4. hawakufanya hivyo, ndiyo sababu. wengine wa nyuma ya hapo wapo kazini.Kwa huzuni kabisa tuna hawa ndg zetu waliokua watumishi wa umma kabla hawajasitishiwa ajira na mishahara pia.hawa watumishi waliajiriwa na serikali hihii ya CCM. Kwa vigezo na sifa zote ,kwani wasingekua na hizo sifa wasingeajiriwa .waliajiriwa wakadhibitishwa kazini uwepo wao na barua ya ajira ya kudumu ,hadi chech no .walikua Nazo ajabu likatokea tamko ghafla kama msiba eti wale wote walio na elimu ya darasa LA saba waliopata ajira baada ya mei 20 watasitishiwA mishahara yao Mara moja .utadhani wezi.kwa maana hawana vyeti vya kidato cha NNE .nikajiuliza 2017 kule Kilimanjaro moshi mei mosi Raisi magufuli mwenyewe alisema kuhusu uhakiki wa watumishi walio na vyeti feki hauwagusi watumishi wa darasa LA saba kwani ndivyo vyeti walivyoajiriwA navyo.sasa tukashangaa kwa huzuni mkubwa bw ndumbaru analeta msiba kwa watu hao.kweli wameumia mno basi kama serikali haiwataki walipwe hela za mifuko waliokua wanachangia lakini serikali imekaa kimya kana kwamba hakuna kilichofanyika. Kwa hawa watumishi ambao kiuhakika ndio wanyonge wa kweli kwenye taiga hili kwani mtumishi ni MTU anaebeba watu wanaomtegemea wengi mno kwa namna tofauti .serikali iangalie hili.
shetani mama yako, kumbe wewe mshenzi. nimekosea wapi? Nimesema ninalolijua na liko sahhi. why use harsh language, shenzi mkubwa weUsiwe kipofu wa akili na usiwe na roho ya kishetani Mimi nilisema OK fine wapo waliajiriwa kwa level ya std vii kuanzia 2015-2016 na ni serikali hii ndio iliwaajiri kwa taratibu zote so usikurupuke kwa ushabiki wa kijinga
Nenda kasome tu hakuna namna.Kwa huzuni kabisa tuna hawa ndg zetu waliokua watumishi wa umma kabla hawajasitishiwa ajira na mishahara pia.hawa watumishi waliajiriwa na serikali hihii ya CCM. Kwa vigezo na sifa zote ,kwani wasingekua na hizo sifa wasingeajiriwa .waliajiriwa wakadhibitishwa kazini uwepo wao na barua ya ajira ya kudumu ,hadi chech no .walikua Nazo ajabu likatokea tamko ghafla kama msiba eti wale wote walio na elimu ya darasa LA saba waliopata ajira baada ya mei 20 watasitishiwA mishahara yao Mara moja .utadhani wezi.kwa maana hawana vyeti vya kidato cha NNE .nikajiuliza 2017 kule Kilimanjaro moshi mei mosi Raisi magufuli mwenyewe alisema kuhusu uhakiki wa watumishi walio na vyeti feki hauwagusi watumishi wa darasa LA saba kwani ndivyo vyeti walivyoajiriwA navyo.sasa tukashangaa kwa huzuni mkubwa bw ndumbaru analeta msiba kwa watu hao.kweli wameumia mno basi kama serikali haiwataki walipwe hela za mifuko waliokua wanachangia lakini serikali imekaa kimya kana kwamba hakuna kilichofanyika. Kwa hawa watumishi ambao kiuhakika ndio wanyonge wa kweli kwenye taiga hili kwani mtumishi ni MTU anaebeba watu wanaomtegemea wengi mno kwa namna tofauti .serikali iangalie hili.
shetani mama yako, kumbe wewe mshenzi. nimekosea wapi? Nimesema ninalolijua na liko sahhi. why use harsh language, shenzi mkubwa we
Hivi upumbavu nao ni moja kati ya magonjwa ya mlipuko?au ni ugonjwa wa kurithi?Kaongeze elimu ! Siku hizi hata walinzi, hg pia wafagizi maofisini ni form iv nakuendelea!
Wacha kutafuta huruma ya serikali hapa, vijana wenye shahada ya kwanza na ya pili achilia mbali stashahada na astashahada wanasugua benchi wewe na elim ya std seven unalia ? Kaongeze elimu !
Kama umri umesogea, wekeza achana na ajira mda mwingine ni utumwa, miaka yote umefanya kazi unaishi kwa mshahara ? Hata genge limekushinda ? Ufugaji ? Kioski ?
Ww Ni mbwa tu hapa jf,,,, unatafuta huruma ya serikali ? Pumbavu kasome !!! Wewe Bibi nenda kalee wajukuu, mda wote umefanya kazi Kama hukuwekeza kafie mbeleWe we ni mzoga hujitambui nimesema nawasemea wenzangu waliokumbwa na sekeseke hilo kwa kua huna akili na utashi wa kibinadamu ndo unaropoka upumbavu
Kitalembwa acha matusi. nshomile ni watu wastaarabu! Use soft language please. Usidanganyike... kitalembwaWw Ni mbwa tu hapa jf,,,, unatafuta huruma ya serikali ? Pumbavu kasome !!! Wewe Bibi nenda kalee wajukuu, mda wote umefanya kazi Kama hukuwekeza kafie mbele