Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 3,349
- 5,532
Tafakari vizuri kazi ya kichwa sio kuandika andika hovyo.Hasira za bure tu.
Hata kama wangeambiwa kwamba kuna hatari bado wangebakia hapo hapo kwa kigezo kwamba wao ni wenyeji wa siku nyingi hapo na hukujawahi kutokea shida.
Kisarawe pale Msitu wa Kazimzumbwi tope lilimeguka na kufunga barabara ya Kisarawe-Dar Es Salaam
Cha msingi wananchi wawe macho na miinuko.
Hii ni Elinino haiitanii, ni vurugu mechi
Kukiwa na dalili ya volcano mlima kilimanjaro tusiwaambie kwa sababu hawatatoka?
Pumbavu kabisa.