Watumishi majizi na wazembe Sekta ya Afya ndiyo wanaoongoza kumpinga Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima

Angeconcentrate kujenga infrustructure na kutrain control za ndani mwenyewe hawezi jigawa kila kona huyo maza watanzania watamchosha ni wezi mnoooo
Aise watu wakipata nafasi wanahakikisha wametatua shida zao zote kwanza kupitia mali za umma.
 
Anatakiwa aangalie mfumo mzima kutoka juu, sio kukurupuka na watu wa chini. Kama kuna wezi ajiulize kwa nini wanaiba
 
Dkt. Gwajima ni mama wa kipekee sana, hana ubabaishaji na uzalendo wake ni wa kiwango cha juu sana. Mungu ampe maisha marefu aweze kufanya mabadiliko tunayotaka na ikimpendeza Mungu zaidi amuweke zaidi ya hapo.
Kweli mwacheni mama wa Kisukumaaaa afanya kazi aliyopewa na Msukumaaaaa. Wewe mndengereko kinakuuma nini kwenye nchi ya wasukumaaaaaa!
 
Yaani serikali inapeleka dawa za kutosha kwenye mahospitali? Lini imefanya hivyo? Hospitali gani imepekekewa dawa za kutosha?
Mnaanzisha thread kutetea upuuzi wa Gwajima wala hamjui muanzie mstari gani? Hii Wizara bora wampe Msukuma.
 
Kamanda acha ungese,unatupia clip za kifala zinakuharibia unaonekana ni mtu wa kubumba
Sasa mtu wa kubumba ni mimi au ni mwenye clip yake?Yaani badala ya kumlaumu alieongea maneno ya ungese unanilaum mimi ambae nasaidia kusambaza ujumbe wake?Kusambaza ujumbe mahususi wa Mh.waziri kuna shida gani?
 
Dawa inaandikwa kwa kufuata Standard Treatment Guidelines ya nchi. Inamaana wewe Mfamasia kituoni kwako hapo hamfuati STG?
Hivi wewe unaelewa kilicho uvunguni mwa wanasiasa na vituo vya kutolea huduma tz hii au umejifungia kabatini unakula filigisi za tausi, usipende jibu Mambo ambayo hujui ,sipo hapa KWA kufuraisha,kumkebehi mtu, fanya utafiti then njoo na majibu hapa,eti kuifuata STG, huo ni mwongozo tu but kila siku dawa bora zinatoka ,kikao siku research zinafanyika, kila siku mabadiliko yanafanyika so Tabibu mzuri lazima kua up to date,Sasa Tabibu atabakije na huo mwongozo wenu ambao ni mzuri but not up to date , dunia inakimbia ,Kama upo hapo wizarani na hujui hili Basi wewe ni kilaza mzoefu
 
Ukweli mtupu, hawa madaktari wa serikali yabidi kukamatwa na kunyongwa, wanaudhi sana kuweka maisha ya wananchi rehani.
 
Narudia tena acha Huyu mama awanyooshe, kwenye duka la dawa la hospital ya serikari unaambiwa hakuna dawa, lakini nesi au Dr wa hapo hapo hospitalin hanakuletea hiyo dawa na kuuzia tena kwa ghali. Vitamin k. kwenye duka la dawa la serikali 17000 duka binafsi 5000, kuna ufisadi wa kila namna, kwenye hiyo wizara ya afya.
 
Shida kubwa waliokuwa kwenye mfumo ndio hao hao leo wanatamka as if wamekuja kutoka sayari ya Mars.Ukiangalia kauli za JPM ni kana kwamba hajawahi kuwa part ya cabinet wakati alikuwa katika wale wazoefu.
Dr.Gwajima alikuwa kwenye mfumo lakini anavyofoka leo ni kama hakuwepo.
Dr.Gwajima umepata fursa na uitumie kuleta mabdiliko bila mbwembwe na mipasho.
 
Fateni wanasiasa , mtanyohoka ,so Kama waijua dawa maana yake wajua na tatizo lako why usinunue Iyo dawa ya elf 5000 huko madukani na je wajua kwamba dawa Bei yake huendana na ubora kutokana na nchi ilipotengenezwa, vitam k iliyotengenezwa kenya ,italy haiwezi kuwa sawa KWA Bei ubora na nchi nyingine japo zote ni vit k , Sasa kalia umbea penda vya Bei rahisi kuliko mwili wako, mungu akuponye haraka hiyo coagulopathy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…