Watumiaji wa YAS naomba msaada

Watumiaji wa YAS naomba msaada

Natumia yas, yap ndo iko hivo ,nadhani ni mojawapo ya terms and conditions zao katika matumizi ya data japo ni wizi kabisa
 
Ikoje hii mkuu?
Ni matumizi ya internet bila Kikomo unapewa router unakuwa unalipia hivi vifurushi Mimi natumia ya Yas mkuu
1744401114809.jpg
 
Back
Top Bottom