kuna baadhi ya simu by default uki connect na usb zinacharge tu mpaka uruhusu mafile yaonekane.
1. hakikisha simu yako umeitoa lock na ipo kawaida unaweza itumia ndio uchomeke usb
2. ukishachomeka usb kuna msg itakuja ya usb kwa juu iclick then utapata option mbalimbali jaribu kuchagua option inayofaa mfano mass storage, usb file transfer etc.