Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 441
- 631
Ulinunua kias gan?Mimi natumia Pixel 7 Pro mwaka sasa na haina shida yoyote, Nina update kila mwezi wanapotoa updates za mwezi
HAIWEZEKANIDowngrade inaeza ikakaa sawa
Ulinunua brand new?Mimi natumia Pixel 7 Pro mwaka sasa na haina shida yoyote, Nina update kila mwezi wanapotoa updates za mwezi
Inawezekana labda uwe hujataka, tumia PC.HAIWEZEKANI
Android 14 bado haijakaa sawa ila kuna series za updates watatuma itakaa sawa tu ila usipende kukimbilia ku update android version hasa kwenye simu zao za pixel ni balaa sana simu ikianza mauza uza tena kwenye simu zao ni stock android yenyewe kabisa wanakupa so uta experience matatizo halisi bila chenga...Habari wakuu..
Nilikua namiliki simu aina ya google pixel 3a nikaamua ku upgrade kwenda kwenye google pixel 4a 5g,
Baada ya kuinunua simu hiyo nikaikuta inatumia plrogram endeshi yaani android 11.. na ilikuwa haina tatizo lolote
baada ya kuitumia kwa muda kidogo ikanilazimu niupgrade kwenda kwenye new version of adroid yaani kwenda kwenye android 14..
Baada ya ku upgrade nikakumbana na matatizo yafuatayo;
1.pixel launcher ikawa inafail kila muda inahitaji uiclose, then simu kwenye screen inakua ina blink blink blink kama mara tano then inakaa sawa, tatizo hili limeklua likijirudia rudia mnoo.. mpaka inakera..
2. simu inapokuwa kwenye chaji unakuwa huwezi kuitumia maana inakuwa nzito mno ule usmooth unakua hamna kwenye kutouch
WAKUU NI NINI HILI TATIZO LINAWEZA TATULIWA?
Inawezekana uwe na PC na files muhimu.. inawezekana kabisa ku downgrade kwa njia unofficial lakini kwa maana itakuhitaji ku unlock bootloader na kuflash custom recovery!HAIWEZEKANI
Vipi tatizo la finger print?mimi kwangu nlipo update tuu ikagoma inaniambia no hardwareNatumia 4a gb 128 sijawah jutia hata siku na pia una magame mazito mazito yale ya gb 1 kifupi ni simu nzur hapa nataka nivute pixel 6
3a nmetumia.. kwa matumizi average inafaa sio kwa matumizi makubwa aisee ilkua inachemka kiasi na chaji napata masaa 7-8 kwa matumizi mfululizo.. Nlpokua natumia kawaida tu ilikua inakaa asubuhi mpaka usiku ndo na chaji tena...3a haina tabia ya kupata moto wakati wa matumizi mazito? Na vipi ustahimilivu wa charge?
Hukuna kisichowezeka, sema hujui ili ufundishwe.HAIWEZEKANI
๐ ๐Vipi tatizo la finger print?mimi kwangu nlipo update tuu ikagoma inaniambia no hardware
Hakukuwa na haja kuupgrade mzeeHabari wakuu,
Nilikua namiliki simu aina ya google pixel 3a nikaamua ku upgrade kwenda kwenye google pixel 4a 5g,
Baada ya kuinunua simu hiyo nikaikuta inatumia plrogram endeshi yaani android 11.. na ilikuwa haina tatizo lolote
baada ya kuitumia kwa muda kidogo ikanilazimu niupgrade kwenda kwenye new version of adroid yaani kwenda kwenye android 14..
Baada ya ku upgrade nikakumbana na matatizo yafuatayo;
1. Pixel Launcher ikawa inafail kila muda inahitaji uiclose, then simu kwenye screen inakua ina blink blink blink kama mara tano then inakaa sawa, tatizo hili limeklua likijirudia rudia mnoo.. mpaka inakera.
2. Simu inapokuwa kwenye chaji unakuwa huwezi kuitumia maana inakuwa nzito mno ule usmooth unakua hamna kwenye kutouch
WAKUU NI NINI HILI TATIZO LINAWEZA TATULIWA?
mimi ninayo pixel 4a ila imemwaga wino naomba wapi naweza pata screen mpya?Mkuu yaani umenisemea mimi kabisa, mimi matatizo yote hayo yapo pia likajitokeza tatizo lengine yaani sim card haisomi. Ukiweka line inaandika sim card is locked.
Kwasasa nimeiweka kabatini kwanza, ni pixel 4a 5g