Watumiaji wa mafuta ya Korie huenda wakayakosa hivi karibuni

Shetemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
956
Reaction score
986
Watumiaji wengi wa mafuta ya kula ya korie uenda wakakutana na rungu kubwa la serikali baada ya mkuu wa nnchi kuwaagizaTRA kuwapiga kodi kubwa wafanya biashara ya mafuta korie hili washindwe kuagiza mafuta hayo nnje ya nchi.Kwa hapa Dar wakazi walio wengi mafuta ya korie yamekuwa ndio mkombozi wa pekee aliyebaki baada ya nazi kuwa bei juu,bila kusahau wakaanga samaki,wachoma maandazi,wahoka mikate na wengineo wengi wanategemea mafuta ya korie je mafuta ya alizeti anayopendekeza mueshimiwa watayaweza?amri nyingi za viongozi huwa hazioni umasikini wa wananchi utakuta mama anamuagiza mwanae kijiko cha mafuta cha sh 200 dukani kwa mangi,je hayo mafuta ya alizeti atayaweza?
 
Ina animal extracts (lipids au cholesterol) ndo zinasababisha ma BP yazuiwe tu

Ila daah poor country Tax system inafanyiwa manipulation na ku victimise politically?maana ya free trade na globalized economy hamna
Business environment is crippled in Tanzania
 
Utapatikana mbadala tu..kwanza itatusaidia kupunguza matatizo ya cholesterol.. Vitu vingine vina faida zaidi kuliko hasara
Hahaha mkiikosa kwenye hayo mafuta mtaipata kwenye kitimoto na kwingine.
Mimi mafuta ya alizeti siyatumii kutokana na sababu niliwahi nunua mara mbili tatu yakawa yana harufu flani sikuipenda nikawa nashauriwa sijui niyachemshe kwanza na kukatia kitunguu swaumu nikaona niachane nayo nirudi kwa korie kwanza mtu mwenyewe kimbaombao nahitaji mafuta ninenepe
 
Aisee!
 
haunenepi bali yanaenda kuganda kwenye mishipa ya damu na kufanya damu ishindwe kupita vizuri. hili linaleta BP na baadaye moyo kushindwa kufanya kazi. mi huku ni Alizeti kwenda mbele hadi harufu yake imeanza kunivutia.
 
Kakuambia nani??kama michikichi basi tunaweza kuzalisha wenyewe..wakulima wa kigoma hawana kwa kupeleka chikichi zao.
Huo uzalishaji wa vidumu tumigazi tumotumoja ndo useme mna mawese,mliyo nayo hata kg hayatosheleshi sembuse,kulisha nchi,nenda Malaysia ukaone misitu ya migazi,watu wanamapori heka elf 40 na zaidi MTU mmoja,wanalisha dunia.
 
na Indonesia pia wana mashamba makubwa sana. mawese ni mafuta safi na cheap sana. tukazane uzalishaji kwenye maeneo unakowezekana.
 
Back
Top Bottom