Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Nov 2, 2013 #2 Tupooooo...Cc farkhina...shost yako ilinivutia zaidi na vile vikorombwezo... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Nov 2, 2013 Thread starter #3 mimi49 Vikorombwezo gani tena hivyo.
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,039 Reaction score 3,927 Nov 2, 2013 #4 Mkuu NAPITA sio vema kutuondolea hamu ya kula!!!!!!!!!
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Nov 2, 2013 Thread starter #5 pmwasyoke said: Mkuu NAPITA sio vema kutuondolea hamu ya kula!!!!!!!!! Click to expand... Kama nimekuondolea hamu ya kula kwanza samahani sana mkuu lakini pili hicho nacho ni chakula cha baadhi ya watu kama mimi49 na wengineo.
pmwasyoke said: Mkuu NAPITA sio vema kutuondolea hamu ya kula!!!!!!!!! Click to expand... Kama nimekuondolea hamu ya kula kwanza samahani sana mkuu lakini pili hicho nacho ni chakula cha baadhi ya watu kama mimi49 na wengineo.
TWALIBU MAKOSA Member Joined Aug 11, 2013 Posts 88 Reaction score 7 Nov 2, 2013 #6 Hakuna mdudu simpendi kama pweza yani harufu yake na mimi ni tofauti.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Nov 2, 2013 #8 mimi49 said: Tupooooo...Cc farkhina...shost yako ilinivutia zaidi na vile vikorombwezo... Click to expand... Hahahaahhaah ahsante shosti... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mimi49 said: Tupooooo...Cc farkhina...shost yako ilinivutia zaidi na vile vikorombwezo... Click to expand... Hahahaahhaah ahsante shosti...
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,269 Nov 2, 2013 #9 karibuni huku mtwara na lindi mufaidi pweza. pale madangwa ni noma
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Nov 2, 2013 #10 NAPITA said: mimi49 Vikorombwezo gani tena hivyo. Click to expand... farkhina hebu mrushie ile supu yetu aione... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
NAPITA said: mimi49 Vikorombwezo gani tena hivyo. Click to expand... farkhina hebu mrushie ile supu yetu aione...
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Nov 2, 2013 #11 Hii ni hakuna kulala supu
kapale323 Senior Member Joined Apr 29, 2013 Posts 119 Reaction score 59 Nov 2, 2013 #12 Kama ni hakuna kulala supu kwanini watu wanahangaika kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume?
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Nov 2, 2013 #13 supu tamu balaa...
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Nov 2, 2013 #14 mimi49 said: farkhina hebu mrushie ile supu yetu aione... Click to expand... Hiyo apo shosti.. Attachments 1383408577497.jpg 43.1 KB · Views: 84 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,383 Nov 2, 2013 #15 NAPITA said: View attachment 119376 Click to expand... Tena nilikunywa leo hii baada ua kupatwa na hangover ya jana....na sasa niko poa bin vuu! Ahsant bwana pweza, nilikufaidi sana leo. Ila hayo maji mbona yanaonekana kama ya chooni mkuu?
NAPITA said: View attachment 119376 Click to expand... Tena nilikunywa leo hii baada ua kupatwa na hangover ya jana....na sasa niko poa bin vuu! Ahsant bwana pweza, nilikufaidi sana leo. Ila hayo maji mbona yanaonekana kama ya chooni mkuu?