Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
Wakuu nilikuwa nimejiunga na BBM kupitia mtandao wa Tgo,nikapata dharura ya kama wiki 3 sikuwa natumia hii huduma,Sasa tokea jana usiku najiunga tena inanipatia hii msg"Ndugu mteja wa Tgo umeshaunganishwa kwenye huduma.Tafadhali endelea kufurahia huduma za blackberry.Wakati bado sijaunganishwa Je kuna njia yeyote ya ku-solve hii kitu?