hivi ukipika kama mboga ukilia ugali itafaa kwa matumizi hayo?
Dah! mie siyo beberu ....kwa hiyo napita tu, wenyewe utawaona tu!Nyosha kidole....................
nimeelewa sasa
Nyosha kidole....................
Mambo gani kutiananyege aah..
Kila nikisoma hii comment yako kuna kiungo kinasisimka!
Taya ama ulimi?
Kiungo ambacho kinaona lakini hakina macho, kinasimama lakini hakina miguu, kinapigana kwa ngumi moja na kinashinda, hakili chakula lakini kinatapika!
Upooz au nimekuongezea ny*ge!?