Watumiaji Mpooo?

Watumiaji Mpooo?

Smirnoff na tonic. Story haziishagi. Hii makitu bwana ina raha yake. Unasikilizaga nini ukisaga?

safi sana,,,,,,

hapo kidogo tumetofautiana na wenzangu wao wanapenda kusaga huku wanasikiliza indian songs mara nyingi..........

lakini mimi napenda ile kitu naitupia huku nipo pub au kind ya music kama club ,,,,, songs mbalimbali zikichezwa huku story zinapamba moto......

acha kabisaaaaaaa.........
 
Mi napenda flashback. Ukipata kampani nzuri utatamani u pause mda. Lols. Christmas nilisaga balaaaaa
 
lol! usinikumbushe habari ya Christmas , mimi ilikuwa boxing day dogo aliniletea rumbesa 3 za kangeta kutoka

Arusha.........

was hell of a fun , tungi kuanzia asubuhi mpaka alfajiri ya another day + usiku kuchanja kwa kwenda mbele............

ila niliumwa mwili mzima like kama siku 3 hata sababu sikujua , kwa kifupi nilipotea hasaa....
 
Kula ujana mwanangu. Lols.
 
Back
Top Bottom