Watumiaaji wa startimes angalia tbc 1 sasa

Watumiaaji wa startimes angalia tbc 1 sasa

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,106
Reaction score
357
Kuna wasemaje sijui wataalamu wa Startimes wapo TBC 1 wanahojiwa na Gabriel Zackalia
 
wamenifurahisha kidogo kwa kuja na recever za DVB-S, coz mm kwa kweli cpend DVB-T coz haipo stable na ina coverage ndogo, hongera startimes kwa kuja kwenye satelite dishes now...
 
wamenifurahisha kidogo kwa kuja na recever za DVB-S, coz mm kwa kweli cpend DVB-T coz haipo stable na ina coverage ndogo, hongera startimes kwa kuja kwenye satelite dishes now...

hapo sijakusoma mkuu.unamaanisha wanapatikana kwenye madishi ya fta au?
 
No wamesema ukiwa na dish already nyumbani unanunua tu dekoda yao bila dish, lile dish ulilonalo home kama azam na zuku utatumia hilohilo kwa dekoda yao.
Ndo hilo kidogo nimesikia jana, kwa hapo juu mkuu ILISOLOKOBWE si FTA.
 
hapo sijakusoma mkuu.unamaanisha wanapatikana kwenye madishi ya fta au?

itakuwa ni pay tv ila watakuwa wanapatikana kwenye satelite both ku band na c band, kiukweli watakuwa wameimarisha ubora wa mawasiliano na picha zao, pia wameongeza channels kwenye DVB-S mpaka 90+...
 
Hawana jipya. TBC na Star times lao moja.

Hata maswali wanayoulizwa na mtangazaji, ni leading questions.
 
mmmmhh hapo itakua ngumu kununua decoda tena mmmmmhhhh

labda kama itauzwa buku jero.
 
Back
Top Bottom