Baada ya Makonda kuboronga katika utaratibu wa kudeal na madawa ya kulevya,wabunge walimshauri Rais amteue kamishina wa Madawa ya kulevya ambaye ataifanya kazi hiyo kwa kufuata misingi inayotakiwa na mh Rais aliweza kuupokea ushauri wao na kumteua kamishina wa Madawa ya kulevya Kama wabunge walivyoshauri.Bunge lilijadili vipi kuhusu madawa? Nalisikia ladio mbao kuwa walitaja mali za naniii. Au????? Suluisho la madawa ni walisemaje?
Tushiriki sote kukomesha yote.Lazima tuyapange madawa katika groups.kitu kama bange shisha mirungi na ugoro ni kuwafanya askari wetu wawe bize kunusa midomo ya wananchi,tukomae na class A drugs.Heroine,cocaine,methamphetamine,mandrax,lsd,hizi ndio dawa hatari kabisa.
Aliboronga kumkamata msani akiwa na malevisho? Hata South America hawawapendi wapinga madawa.Baada ya Makonda kuboronga katika utaratibu wa kudeal na madawa ya kulevya,wabunge walimshauri Rais amteue kamishina wa Madawa ya kulevya ambaye ataifanya kazi hiyo kwa kufuata misingi inayotakiwa na mh Rais aliweza kuupokea ushauri wao na kumteua kamishina wa Madawa ya kulevya Kama wabunge walivyoshauri.
Pombe pia si inalevya? na inamadhara, hii sio nchi ya kilokole.Tushiriki sote kukomesha yote.
wewe utakuwa unatumia bangi si bureLazima tuyapange madawa katika groups.kitu kama bange shisha mirungi na ugoro ni kuwafanya askari wetu wawe bize kunusa midomo ya wananchi,tukomae na class A drugs.Heroine,cocaine,methamphetamine,mandrax,lsd,hizi ndio dawa hatari kabisa.
Ndumu?tunakulaaga kwa taarifa yako ndio kitu asili cha hapa hapa tanzania.wewe utakuwa unatumia bangi si bure
Sober republic? never!Mbona Ndugu zetu wapendwa WAISILAMU pia hawapendi pombe. Nao pia wameokoka kutumia pyombe.
Mlevi umuona umbwa ni kisura na kumtamani.Sober republic? never! View attachment 469588
Mwanza,Kilimanjaro wameitikia harakat za kupambana na dawa za kulevya,si kwa maelekezo ya waziri wa mambo ya ndani bali kwa filimbi za RC wa Dar es Salaam.Walioshikiliwa 47 huko Kilimanjaro na kwengeneko Tz na Duniani, yaani wa Tanzania hivi Bunge lilijadili vipi hili suala?. Au walisemaje?.
View attachment 469561
View attachment 469560
NI KWELI KABISA MIRUNGI KAMA KENYA WANATAFUNA KAMA PIPI.KWAO NI KITU CHA KAWAIDA.LAZIMA KUWE NA GRADE.HASA TAZAMENI VYENYE MADHARA MAKUBWA .MFANO GONGO HUWEZI KULINGANISHA NA CHIBUKULazima tuyapange madawa katika groups.kitu kama bange shisha mirungi na ugoro ni kuwafanya askari wetu wawe bize kunusa midomo ya wananchi,tukomae na class A drugs.Heroine,cocaine,methamphetamine,mandrax,lsd,hizi ndio dawa hatari kabisa.
Mimi niko high, wewe unajifanya mlokole sasa unaongea nini?Mlevi umuona umbwa ni kisura na kumtamani.
Mh. Makonda alitoa kauli toka moyoni yaani kiundani na kuwagusa wengi. Muhimu ni issue yenyewe au jambo la madawa na sio uMakonda. Sasa wengi wanalalama u watu au umtu wala sio janga la madawa ya kulevya la kidunia.Mwanza,Kilimanjaro wameitikia harakat za kupambana na dawa za kulevya,si kwa maelekezo ya waziri wa mambo ya ndani bali kwa filimbi za RC wa Dar es Salaam.
Hapo ndo waziri wa mambo ya ndani anapopaswa kujiangalia vizuri TAI YAKE