watu8

kwenye avatar yake inaelekea uyo dogo alizama kwenye kisado...

Mkuu asili ya picha hiyo ni tukio la kweli lilitokea huko Uchinani na pikipiki ilipakia watu nane...

Kwenye kisado hakukuwa na mtoto mdogo, huyo dogo alifanya kuongezewa na watu wafanyao image manipulation ili kunogesha uhondo wa picha...

Ukicheck kwa uzuri avatar yangu bila shaka utang'amua kuwa hakuna mtoto mdogo kwa kisado...
 
Mkuu picha zote mbili nazitumia, moja ni kama avatar na nyingine ipo kama profile photo....


watu8-zawadi yako ya mwaka mpya..ukijisikia kubadilisha avatar usipate tabu
2014-kiafrika zaidi
3.bmp
 
Back
Top Bottom