Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Na mimi wa iPhone 7 naruhusiwa kucomment pia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au nijifanye nina iPhone 13/14?
Cc Shunie
Auntie wa iphone zote thread yenu hiii kikubwa uwe na iphone tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi wa wereva tumekuja kuwasindikiza tu na makelele yetu
 
Auntie wa iphone zote thread yenu hiii kikubwa uwe na iphone tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi wa wereva tumekuja kuwasindikiza tu na makelele yetu
Ila Auntie.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Samsung nimwachie nani lakini?
 
mambo ya BBM, ila mwaka nadhani umesahau, mimi niliimiliki 2008.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie wa iphone lazima muwe na simu mbili hivi kwa nini auntie ebu nijibu basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie unanijua....
Nina simu moja line moja....

Ngoja wa iPhone waje watoe majibu[emoji23][emoji23]
 
Bora Elon Musk katoa twitter for iphone. Hiyo google pixel hujatumua kwanzia 6, iphone ni takataka tu, umenunua brand. Hakuna maajabu.
 
Kila nikijichanga ninunue simu matatizo yanajitokeza ngoja nikomae na hili infinix mpaka mwezi wa 9 hukoo.
 

BB mpaka kufikia kuuzwa 150k tayari zilikuwa zimeshatoka mchezoni.

Kipindi BB inasumbua ni 2012 kurudi nyuma huko,ilikuwa ni balaa na nusu.
 

Kwa namna unavyotoa sifa kwa iphone inaonyesha ulikuwa na android ya hovyo hovyo tu.

Ungekuwa na simu ya kariba hiyo ya android usingejimaliza namna hii[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…