watu wengine kwa mikwara......

hivi ujue hata wewe una mbwembwe ivo ivo!
 
Yeah shemu, anajitahidi sana....

Vizuri..nimemtafuta Nitty villa zote hapa simuoni.. Nimeenda pale "Husninyo akiwa na..",sijampata,"Mama Kamche...." hayupo,"wadada" hayupo,"chondechonde mnilipe..." hayupo,yaani sijui yuko wapi!

Na vipi tajiri la kinshomile nalo vipi?
 
....nani hawa...?

Hao jamaa ni wanamuziki , hapo wako hoteli wameagiza chakula (Wali)
Wakaletewa Wali wa mafuta wakaukataa !
Sijui wanataka Wali wa nini ?
Unaweza ku'guess ?
 
Hao jamaa ni wanamuziki , hapo wako hoteli wameagiza chakula (Wali)
Wakaletewa Wali wa mafuta wakaukataa !
Sijui wanataka Wali wa nini ?
Unaweza ku'guess ?

walinazi...sorry!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…