luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,406
Wanaume wa siku hzi mnaona sifa kutembea na wanawake wengi na angali mnamkosea muumba ..laiti kam angefufuliwa maiti aseme huko kaburini kuna tisha vip bas kila mtu angemuogopa Mungu...starehe ya mda mfupi duniani inakupelekea ukachomwe moto milele...
Amenikumbusha zile harakati za Pimbi,
Anaseti mipango lakini hafanikishi.
Unaweza useme usichepuke, kumbe mwenzio anachepuka bila wewe kujua.
[emoji3][emoji3] dah wewe kama mimi aisee sijui shida nini.
No one is ugly Sana...ni mitazamo tuuAu kuwa ugly sana
Kuoa si sawa na kuchepuka!Sijui kama uko sahihi.
Wanaume wa zamani imani zote walioa zaidi ya mke mmoja
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
kuna dem ukiita watu 100 uKawauliza 96 watasema ni mzuri na wale wa4 watasema wa kawaida..Huyo ni mzuri sanaNo one is ugly Sana...ni mitazamo tuu
Mimi naamini uzur na ubaya wa wanawake ni matunzo tuu....ndomana nasema hakuna mwanamke mbaya ni mtazamo tuu labda awe na mapungufu...kuna dem ukiita watu 100 uKawauliza 96 watasema ni mzuri na wale wa4 watasema wa kawaida..Huyo ni mzuri sana
Kuna dem ukiita watu 100
95 watasema ni mbaya
5 wtasema wa kawaida
0 watasema ni mzuri
Huyo ni ugly sana..
Najua uzuri ni mitazamo lakini kuna watu mitazamo ya watu wengi inakubaliana ni wabaya...
Anatomy na psychology zipo clear mzeeMimi naamini uzur na ubaya wa wanawake ni matunzo tuu....ndomana nasema hakuna mwanamke mbaya ni mtazamo tuu labda awe na mapungufu...
Fahamu mbaya kwako mzur KWA mwengne..
Wazamani ndo walikuwa hawatembei na wanawake wengi eeh,na ikukae kichwani mwako mwanaume si wa mwanamke mmoja au wawili.........Wanaume wa siku hzi mnaona sifa kutembea na wanawake wengi na angali mnamkosea muumba ..laiti kam angefufuliwa maiti aseme huko kaburini kuna tisha vip bas kila mtu angemuogopa Mungu...starehe ya mda mfupi duniani inakupelekea ukachomwe moto milele...
Watu kama ninyi ndio honey ukimkasirisha tu. Una umwa nusu kulazwa ...badilika ww mtafutie substitution wake uone ata punguza maringo mjini hapa BOEEEEAWanaume wengine tupo ambao nyota zetu ni ngumu sana kuchepuka!nimeshajaribu mara kadhaa kuchepuka lkn nilikamatwa na demu wangu hatua za awali kabisa kabla hata sijagegeda!
Na mara nyingine unatongoza mwanamke fresh tu akikubali tu naingia mitini!
Huwa nakosa sana amani linapokuja swala la usaliti
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?ukiwa ugly sana wanaume hawakushobokei,hawakujali hata wakija wanafata tunda tu kisha wanakutema.
sometime utajishobokesha kwao ila wanakublock..
mim kuna dem namjua ni Ugly yani even boyfriend wake hata hajui kama yeye ni dem wake.
Yaani mtu akimpa hi mara mbili anahisi anapendwa coz hajazoea shobo.
In turn baada ya mateso sana huwa ili kujifariji wanaamua kuassume wao ndo hawataki mapenzi sio kwamba mapenzi ndiyo yamewakataa(ego)
So wanaamua kuvunga hawana hisia au kuwa MaTom boy(99% ya maTom boy ni Ugly, sura za baba)
Sasa wakivunga na kujidanganya mda mrefu kuwa hawana hisia inafiKa hadi point wanaamini uongo wao.. Hence wanakuwa hawana hisia kweli
Mi TransgenderHivi wewe ni mwanaume au mwanamke?
Ok sawa mkuu.Mi Transgender
vip mbn umemuuliza ivoOk sawa mkuu.
Wanaume wengine tupo ambao nyota zetu ni ngumu sana kuchepuka!nimeshajaribu mara kadhaa kuchepuka lkn nilikamatwa na demu wangu hatua za awali kabisa kabla hata sijagegeda!
Na mara nyingine unatongoza mwanamke fresh tu akikubali tu naingia mitini. Huwa nakosa sana amani linapokuja swala la usaliti
Vip kwan?Ok sawa mkuu.