Watu wengine hatuna damu ya kuchepuka

Inaonesha ushazoea kufanya hv kwa kila mwanamke ndyo maan haya hapa unaniigizia...mm sina hisia kaka na cjawah kupenda so hayo yote n bure kwangu.. n maamuz kuamua kuish bila kuwa katika mahusiano so i am
Pole sana, kukosa hisia inatokana na mambo mengi.
Kubakwa, kuugua sana au kuumizwa sana. Pole tena

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Nimependa jina lako bibie!
Niliposoma ujumbe wako umenihadaa mpk moyo umeninong'oneza "malkia wa sheba kakufikia!"
Nami Sina hiana sioni haja ya kukosa mrembo weye mwenye hekima isiyo shuruti wala hamaki...!
Mmh,maneno maneno mazur,upo unakunywa bia nn
 
Hapana mkuu, u ugly hakuzuii kupata hisia hilo sio tendo la hiari

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
ukiwa ugly sana wanaume hawakushobokei,hawakujali hata wakija wanafata tunda tu kisha wanakutema.

sometime utajishobokesha kwao ila wanakublock..
mim kuna dem namjua ni Ugly yani even boyfriend wake hata hajui kama yeye ni dem wake.

Yaani mtu akimpa hi mara mbili anahisi anapendwa coz hajazoea shobo.

In turn baada ya mateso sana huwa ili kujifariji wanaamua kuassume wao ndo hawataki mapenzi sio kwamba mapenzi ndiyo yamewakataa(ego)

So wanaamua kuvunga hawana hisia au kuwa MaTom boy(99% ya maTom boy ni Ugly, sura za baba)

Sasa wakivunga na kujidanganya mda mrefu kuwa hawana hisia inafiKa hadi point wanaamini uongo wao.. Hence wanakuwa hawana hisia kweli
 
Unaweza useme usichepuke, kumbe mwenzio anachepuka bila wewe kujua.
 
Kuchepuka sometimes mimi naona hulka ya mtu tu
 
Sema nini ...Hii ishu ya michepuko unaweza kujikuta unakaribisha mikosi ndani kwenye familia.hata kama hutaathirika wewe . watoto
 
ni rahisi sana kujizuia kuchepuka ukiwa kwenye mahusiano bt ukiwa ndoani ni ngumu sana kujizuia kuchepuka
 
Reactions: _ly
Ukiona hivi baki njia kuu mwanangu kuchepuka hakukuongezei chochote mizinga kibao asali ileile tu
 
[emoji3][emoji3] dah wewe kama mimi aisee sijui shida nini.
 
Sio kila kianachosifiwa na watu na wewe ufanye...data moyo wako
Fanya unachoweza na unafurahia kufanya
Usiige mambo ya dunia ..
Anataka aone wenzake wanachokiona pindi wanapochepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…