Watu wengine hatuna damu ya kuchepuka

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Wanaume wengine tupo ambao nyota zetu ni ngumu sana kuchepuka! Nimeshajaribu mara kadhaa kuchepuka lakini nilikamatwa na demu wangu hatua za awali kabisa kabla hata sijagegeda!

Na mara nyingine unatongoza mwanamke fresh tu akikubali tu naingia mitini. Huwa nakosa sana amani linapokuja swala la usaliti.
 
Mambo mrembo..?
 
Nimependa jina lako bibie!
Niliposoma ujumbe wako umenihadaa mpk moyo umeninong'oneza "malkia wa sheba kakufikia!"
Nami Sina hiana sioni haja ya kukosa mrembo weye mwenye hekima isiyo shuruti wala hamaki...!
 
Sielew wew n mtunz wa mashairi ama?
Ndio ni mtunzi na utunzi huo umelalia kwako! Nabubujika maneno haya kwasababu yako mahabuba!.. na hapa nilipo moyo wangu umesharuba..!
 
Naona mafuriko ya dar yamekukoroga ubongo wako
Dada punguza mipasho basi..😂
Usinifanyie hivyo ntakufa na kihoro! Kwanza sipo hata dar siwezi ishi huko kwa mijoto iliyoko!

Usinitupe mbachao kwa msala upitao mama!.. mi nataka nikuenzi niwe wako mpenzi..😉
 
kwaiyo kama unatabia ya kuchepuka ww hauna akili
 
Unienz hyo aje..ili baadae uje ulete ubuyu huku jf
Mimi sio ropokaji.. yasiri nayajua huna haja ya kuhofia!
Achana na hao vilamba mwiko wanataka tu ujiko!

Kwa hekima ulizonazo nikikuacha nitakosa baraka! Yafaa uitwe mke kwangu na sio kimbilio la mapangu!..
 
Sijui kama uko sahihi.
Wanaume wa zamani imani zote walioa zaidi ya mke mmoja

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…