Ccm itahamasisha wanachama wake wakakipigie kura chama chao na ndiyo itakuwa akidi ya wapiga kura wote na itajishindia kwa kura hizo za wanachama wake. Vyama vya kinafiki na kimamluki vitakavyoshiriki uchaguzi wa kimagumashi vitaenda kujazia kura za ushindi wa ccm na vitaangukia pua