Watu wawili suti moja.

Inavyoonekana wamegawana,sasa mbona mwenye suruali hana mkanda?
 
Ukisoma picha vizuri utagundua ni alfajiri kabla watu hawajaamka. Kilichotokea usiku wa jana nani anajua, labda hata wenyewe hawakumbuki.
 
Hivi Miji ya Wenzetu huko ni Wazembe Kiasi hicho Mpaka Muda Huo Hawajaamka Hata... halafu Wanatupita Sie ambao Sa 10 foleni zishaanza
 
Mijii haifanani mkuu, Mwanza na Lusaka Ni tofauti na vile vile Helsink, New York, Roma na Cairo.
 
Kuna muvi zinaitwa hangover..scene kama hizi huwa hazikosi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…