Usipotahiriwa hauzeeki. Nyie endeleeni na tohara zenu tuone.
hahahahahahaha wajaluo wanaishi milele!
Usipotahiriwa hauzeeki. Nyie endeleeni na tohara zenu tuone.
SI wafanye bure na sie huku tusizeeke
acha tuu ni zeeke kansa sitaki, mi nataka yakupunguza kitu kimoja tu
Ukizeeka unapata kansa?
Kitu gan hik0?
Ni PM basi