Watu wasiozeeka

Watu wasiozeeka

Weka picha zao za 'before and after'...

Na kwa case ya Gabriella tafuta picha ambayo hayupo kwenye vipodozi...

ImageUploadedByJamiiForums1433927894.777245.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1433927965.560500.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1433928031.833617.jpg
 
Mkuu si kila mtu anakatwa kisu ili kuonekana kijana wengine ni genes zao tu na labda mfumo wa maisha walionao huwafanya waonekane wana umri mdogo kuliko umri wao halisi.


Mambo ya kisu hayo kaka, watu wenye hela zao wanapunguza sana nyama za uso na mwili zilizozidi...
 
Mkuu si kila mtu anakatwa kisu ili kuonekana kijana wengine ni genes zao tu na labda mfumo wa maisha walionao huwafanya waonekane wana umri mdogo kuliko umri wao halisi.

Ila kwa nchi zioizoendelea asilimia kubwa sana wanafanyia surgery sana tu. Labda wa kibongo kuna wenye genes hawazeeki. Ila huko mbele ni saNa tu.
 
Na wapo wengi tu ambao hawafanyi haya makitu. Hata Oprah miaka michache iliyopita alikuwa ana kipindi cha watu kama hawa ambao wana umri mkubwa lakini wanaonekana wana umri mdogo hata kwa miaka 20 mpaka 30 na hawajakatwa visu au kutumia Botox. Si kila anayeonekana kijana majuu kakatwa na kisu au katumia Botox.

Ila kwa nchi zioizoendelea asilimia kubwa sana wanafanyia surgery sana tu. Labda wa kibongo kuna wenye genes hawazeeki. Ila huko mbele ni saNa tu.
 
Mkuu si kila mtu anakatwa kisu ili kuonekana kijana wengine ni genes zao tu na labda mfumo wa maisha walionao huwafanya waonekane wana umri mdogo kuliko umri wao halisi.

Hiii kitu ina niandama aiseee. Naonekan mdogo mdgo hiv. Hate this
 
​Unataka uonekane Mzee ili iweje Mkuu? Shikamoo kwa wingi?

Mkuu, utajikuta ukisukuma kingi kwa videnti vinajaa, ukipeleka kwa watu wazima wanaon like not fair hivi,huh
 
Mi mwenyewe sizeeki ukinitazima umri wangu na muonekano unaweza sema nipo kidato cha pili
 
Back
Top Bottom