Watu washamba mnavyokuja club mnatukera sana

Watu washamba mnavyokuja club mnatukera sana

Kutwa na simu zenu za infinix sijui oppo kukaa na kuanza kurecord ovyo
Watu wengine wapo kwenye starehe zao nyie kutwa kurecord sijui muweka status na snapchat
Mnaboa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanakuchoresha
 
Tatizo sio aina ya simu , hizo ni tabia mbovu za watu tu. Ukiacha ushamba mara nyingi pia wenye hizo tabia unakuta sio wanywaji hivyo wanaanza kujishughulisha na mambo ya wengine kupoteza muda.
 
Kutwa na simu zenu za infinix sijui oppo kukaa na kuanza kurecord ovyo
Watu wengine wapo kwenye starehe zao nyie kutwa kurecord sijui muweka status na snapchat
Mnaboa sana
Mfano zamani nlipokuwa naendaga club huwa nlikuwa sichezi just nasikiliza mziki na tikisa kichwa pia nlipendelea kukaa pekeyangu kwenye yale makochi .... sasa wew unakereka n nini tena
 
Back
Top Bottom