Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,341
😂😂Hii Vita ilinoga kweli.
Punguza jazba..Kama umeumba khaa!Wafupi ni wajinga sana halafu mna roho mbaya
hata katika sekta muhimu wengi hampewi kipaumbele kwa upimbi wenu (udereva,upolisi,uanajeshi nk)
Watu wafupi huanza kujiwenga kwanza wao halafu wengi hawafurahii muonekano wao wa nje utakuta kavaa mibuti mikubwa ili tu imbust asidharaulike na mbele ya watu