Watu wanne wanusurika kifo(kufa) baada ya gari walilokua wanasafiria kupata ajali

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,449
2,924
Tuwweni makini tunapoendesha vyombo vya moto,

Maisha hayana bima.

We only have one life..LET US CHERISH IT
 

Attachments

  • IMG_20181018_143519.jpeg
    73.8 KB · Views: 21
  • IMG_20181018_143719.jpeg
    60.1 KB · Views: 24
Ndio, ni mimi. Lengo lako lipi?
Unaleta habari ambayo hutowi maelezo ya kina kuhusu taarifa yenyewe. Tumeona picha na watu wakishangaa je imetokea wapi? Lini?

Au kila mtu anaweza kuota kuwa ajali hiyo imetokea huko unapokujua?
 
Nimeiona hiyo ajali kwenye barabara ya kwenda Kibondo Sekondari karibu na kona ya kwenda Cheyo hotel! Nlikuona mkuu wakati unachukua picha za tukio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…