SPIN DOCTOR
Member
- Aug 18, 2016
- 20
- 10
Dalili za mvua ni mawingu..something is wrong down there, japo bado ishu inafunikwaHivi nini kinaendelea NSSF? Leo nilikuwa ofisi yao ya Ilala wanachama wamekuja wanataka kutoa pesa zao. Je kuna uwezekano kuwa NSSF inaelekea kufilisika kama PSPF? Kwanini serikali isiunganishe hii mifuko na pia kuruhusu Private Pension Plan badala ya mambo ya kulazimishwa kuingiza pesa kwenye hizi state pension funds.
umenena vyema kiongozi.na kama umeona watu wengi wanataka chao huko nssf basi kaa ukijuwa hiyo ni retrenchment inaendelea huko kwenye soko la ajira.
Mi mwenyewe nishajitoa mambo yao niya ovyoovyo tuuuHivi nini kinaendelea NSSF? Leo nilikuwa ofisi yao ya Ilala wanachama wamekuja wanataka kutoa pesa zao. Je kuna uwezekano kuwa NSSF inaelekea kufilisika kama PSPF? Kwanini serikali isiunganishe hii mifuko na pia kuruhusu Private Pension Plan badala ya mambo ya kulazimishwa kuingiza pesa kwenye hizi state pension funds.
Inamaana PSPF wamefulia mkuu? Maana ndo nataka kujiunga nao, kama vp ni ahirishe kujiunga nao!!!Hivi nini kinaendelea NSSF? Leo nilikuwa ofisi yao ya Ilala wanachama wamekuja wanataka kutoa pesa zao. Je kuna uwezekano kuwa NSSF inaelekea kufilisika kama PSPF? Kwanini serikali isiunganishe hii mifuko na pia kuruhusu Private Pension Plan badala ya mambo ya kulazimishwa kuingiza pesa kwenye hizi state pension funds.
Watu wanajitoa kwamba hawautaki tena mfuko au watu wanaenda ku-demand mafao yao baada ya kustaafu au kuachishwa kazi? Hivi inaingilia akilini ukute kundi kubwa la watu halafu useme hawautaki mfuko? Walifikia hatua hiyo kwa umoja wao baada ya kuona kuna nini?Kuna uzi ulikuwepo hum uliokuwa unazungumzia wanachama wa NSSF kujitoa lakini alikuja Pascal Mayalla akawaka sana kuwa hilo jumbo ni uzushi na uzi ukafutwa bila sababu za msingi (inanifanya niamini kuwa NSSF wameajiri watu wao kuja kuondoa bad news JF). Leo nimeshuhudia mwenyewe watu wanavyolalamika ofisi za NSSF ilala na nimeambiwa na staff pale kuwa katika miezi ya karibuni wameshindwa kujua namna gani watakavyozuia hili wimbi la wanaojitoa. Mwanzoni walidhani kuwa ni kampeni toka kwa mahasimu wao PPF na PSPF lakini inaonekana kuwa hili shirika linaelekea iliko shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufilisika.
Kwa nini tunalazimishwa na serikali kuwekka pension zetu kwenye mashirika ya serikali?
Bilion 3? Are you serious? HiyoBilion 3 ni TZS au US$?PSFP nadhani deficit yao inakaribia 3 billion au zaidi
serikali inseam haifa pesa za kulipa hilo deni
Usithubu yani usiwaze hata kujiunga nao ni wababaishaji sanaInamaana PSPF wamefulia mkuu? Maana ndo nataka kujiunga nao, kama vp ni ahirishe kujiunga nao!!!
3 billion usdBilion 3? Are you serious? HiyoBilion 3 ni TZS au US$?