Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Na wanavyopenda kutema mate, yani hapo wanaoga mate matupu......
* China wapo more than 1.3 Billion...wakati Africa tupo 1.1 Billion...
* Ukilinganisha size ya China na Africa...Afrika tuna population density ndogo sana kuliko China..meaning katika kila Square Kilometer moja waafrika wapo wachache...
Nimemiona dada mmoja yupo alone hana mtu siijui nimfae
umemuona yule mwenye kichupi cha pink alivyokuwa bomba ila mpaka 2fike washaondoka.Nimemiona dada mmoja yupo alone hana mtu siijui nimfae