2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
Mara nyingi, watu wasiojua kujipendekeza na kujishusha ile ya kudhalilika.. Huchelewa kutoboa katika maisha.
Lakini wale wenye kujua kujipendekeza hata kukenua pale anapoghafilika hufanikiwa mapema sana. Na mambo yao huwanyookea sana.
Yapo mambo hayahitaji uwe na cheti wala sifa stahiki. Lakini kupitia kujikomba unaweza kunufaika nayo. Hata wenye vidomodomo wakilalamika hawatasikilizwa.
Nashauri tujifunze jambo katika hawa.
Ikibidi tuigize kama wao hata kuwazidi, lasivyo....
Nawapa hongera sana.