chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,037
- 3,080
- Thread starter
-
- #21
watu wa kuloga ndo hawaaminiki na hawatakiwi kuaminika kabisa labda mganga awe rajiri mkubwa mwenye infulece, lakini imagine mganga mwenyewe bado ni chokambayaUnanza kuchanganya ugali na juice
Jifanye Ni MTU wa kawaida , tabasamu onyesha kuwa unawajali & then utaleta matokeoWengine wanatetemeka, wengine wanakimbia wakiniona. sometime nashindwa hadi kupata madem kwasababu wananiogopa sana.. hii inasababishwa na nini ?
hahahah huhuhu amakwel amuue live amuue aseno tottenham ampe tayar odd 2000 akiweka buku 5 makasiriko yanatokaKukosa ajira sio mwisho wa maisha
Mkuu tusubir ligi irudi kuna mechi za moto
duh asantee asante usisahau kumuua liver pol upate hela ya barmed upumzike kupiga puchu mr secretpuchuHata mimi nilikuwa nlikuwa naogowpa sana na watu bila kujua sababu ni nini.
Baada ya kujifanyaia utafiti wa kina, nikagundua kuwa dushelele langu huwa linatuma sana kwenye suruali kiasi cha kutishia usalama wa watu.
Kumbe watu walikuwa wanadhani Mimi nina tabia mbofu mbofu kama za popobawa mvaa watu, ndo maana walikuwa wananiogopa.
Katika kukomesha hili, nikawa navaa suruali pana kama ile ya msanii Samba Mapangala, vijana wa siku hizi wanaita jeje.
Sasa siogopwi na watu tena!
yaani. mimi ni mtu wa kawaida kabisa lakini labda kwasababu ya kuwa mpole na kutokuingwa sanaJifanye Ni MTU wa kawaida , tabasamu onyesha kuwa unawajali & then utaleta matokeo
Changamoto ipo kwenye Kichwa chako ndio maana watu wanakuogopa,
yani hadi mademunninaowaelewa wenyewe bado wananichukulis serius sanaItakuwa labda ww unakaa kijesh
Pamoja mkuu.duh asantee asante usisahau kumuua liver pol upate hela ya barmed upumzike kupiga puchu mr secretpuchu
yaani wangeniona hamnazo wangenitania kwasababu kuna mifano naiangalia ila wao wananichukulia kama muheshimiwa au mtu wa kumficha mambo ya kawaidaChangamoto ipo kwenye Kichwa chako ndio maana watu wanakuogopa,
Pengine wanakuona hamnazo.
Inaitwa kinabii sio kumuogopa ni .....Wengine wanatetemeka, wengine wanakimbia wakiniona. sometime nashindwa hadi kupata madem kwasababu wananiogopa sana.. hii inasababishwa na nini ?
fafanua hapa kwa faida ya wote mwenyewe huwa inanitokeaga,, kuna siku nilienda sehem moja hv na bos wangu tulipofika pale watu wakawa wananichukulia mm kama bos tukiacha hayo mimi kitaa nakubalika na kila rika iwe wazee, mateja watoto wadogo, vijana wanawake, nk ila sina cha maana ninacho miliki zaid ya inifinix na itel nyumba ya kujengewa na mzee wanguInaitwa kinabii sio kumuogopa ni .....
Njoo nikusaidie inbox
Mbona mimi ni tajiri mkubwa 😎watu wa kuloga ndo hawaaminiki na hawatakiwi kuaminika kabisa labda mganga awe rajiri mkubwa mwenye infulece, lakini imagine mganga mwenyewe bado ni chokambaya
Weka picha yako hapa ili na sisi tujiridhishe kama ni kweli.Wengine wanatetemeka, wengine wanakimbia wakiniona. sometime nashindwa hadi kupata madem kwasababu wananiogopa sana.. hii inasababishwa na nini ?
Hiyo ni roho iliyonayo ndani.fafanua hapa kwa faida ya wote mwenyewe huwa inanitokeaga,, kuna siku nilienda sehem moja hv na bos wangu tulipofika pale watu wakawa wananichukulia mm kama bos tukiacha hayo mimi kitaa nakubalika na kila rika iwe wazee, mateja watoto wadogo, vijana wanawake, nk ila sina cha maana ninacho miliki zaid ya inifinix na itel nyumba ya kujengewa na mzee wangu