ile ni app market tu yaani ni soko la program za android kwahiyo playstore haimlipi mtu kwa kuweka apps zake sokoni ila inamchaji 25$(kodi ya soko) maramoja tu pale unapojisajili
swali lako ni kama kuuliza "hivi soko la kariakoo linalipa wale wafanyabiashara walioweka bidhaa zao pale sokoni"?